Msaada: Napata maumivu ya ulimi

Unforgettable

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
5,591
Reaction score
12,461
Wakuu mmeamkaje huko mliko sisi huku tu wazima wa afya ila tunachangamoto ya ulimi kuwa na maumivu kama umechanwachanwa, hata maji ukinywa maumivu unayaskia.

Shida inaweza kuwa nini au tiba yake ni ipi?

Asanteni
 
Upungufu wa Vitamin C, mle matunda na mboga za majani kwa sana,

Lakini mkanunue mouth wash ya 'Medi Oral' msukutue inasaidia sana kuondosha hayo maumivu mnayoyapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…