hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 581 Reaction score 636 Jul 29, 2020 #1 Ni siku ya nne sasa, kila nikishika pua upande wa kushoto nasikia maumivu makali mno, nashindwa kuelewa ni tatizo gani kwa kweli. Msaada tafadhali
Ni siku ya nne sasa, kila nikishika pua upande wa kushoto nasikia maumivu makali mno, nashindwa kuelewa ni tatizo gani kwa kweli. Msaada tafadhali
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,557 Jul 29, 2020 #2 Utakuwa na kipele ndani.