John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 143
- 108
Asante broWote wana nia njema, Kama unategemewa nao, msikilize Mama, ni sawa tu, Mambo ni taratibu Dogo!
Wazo zuri bro but niliwaza kuwekeza pesa ili nifanye biashara but nilitaka nianze kujenga kidg kdg kabla ya majumu kuongezekaHapa mbongo ndio huwa anafeli.
Ndio kwaaanza unaanza kujitafuta halafu unataka hela yako ukanunue michanga kisha uifukie chini.
Mimi ningekua ww hiyo hela ningefanyia matumizi mengine ya kuniletea hela maradufu na sio kwenda kununua michanga.
Hapn bro alikuwa na shida na pesa so alipomalz kutatua nilimwambia akae nayo iyo pesaKwa maelezo yako inaonyesha una Miaka 28 ila bado hujitambui hakikisha hata ukipata shilingi 100 mpelekee mama akutunzie
Umemshauri vizuri sana, pole pole ndio mwendo.Wote wana nia njema, Kama unategemewa nao, msikilize Mama, ni sawa tu, Mambo ni taratibu Dogo!
Asante sanaUmemshauri vizuri sana, pole pole ndio mwendo.
Mama hakopeshwi pesa kama aliitumia kutatua changamoto zake anza upya kutafuta pesa nyingine hiyo usiuulizie, fungua account bank weka akiba yako au weka hata mpesa tunza mwenyeweHapn bro alikuwa na shida na pesa so alipomalz kutatua nilimwambia akae nayo iyo pesa
Asante kwa ushauriMama hakopeshwi pesa kama aliitumia kutatua changamoto zake anza upya kutafuta pesa nyingine hiyo usiuulizie, fungua account bank weka akiba yako au weka hata mpesa tunza mwenyewe
Msikilize mama.Mzee wangu amenipa eneo la kujenga..
Mm ni kijana na mtt wa kwanza miaka 28.
Nimepata kazi ya kujitolea katika taasisi ya umma lakini kwenye suala la malipo yanachelewa hata miezi 3 ila wakilipa wanatoa pesa yote ya miez 3
Kuna pesa nilipata nikawekeza kwa bi mkubwa wangu lengo ni nunue matofa kidgo ya kuanzia sasa juzi nimepata pesa nimetoa laki 1 hili niongezee na ile kwa bi mkubwa nikanunue matofali nipeleke site kidg yatakuwa meng
Nikamshirikisha mzee akaniambia wazo zuri nunua kidg kdg matofari usikae kusubilia upate ela nying ndio ujenge
Ila bi mkubwa aligoma baada ya kuomba ela niliyompatia niongeze na hii niliyopata alichosema pesa niliyompa ndio itanunua matofari na hii niliyopata sahiv nitumie kwenye matumiz ya nyumbn sababu malipo yangu yanachelewa so inikimu kweny mahitaj madg madog hata msahara ukicherewa itanisaidia
Nashidwa ni fanyaje maana sielew ni msikilize baba au mama?