B benon Member Joined Sep 30, 2012 Posts 31 Reaction score 14 Oct 16, 2012 #1 wadau naombeni mnisaidie jinsi ya ku activate bundle kwenye modem ya voda hizi mpya za saa hivi. halafu kama kuna msamiria anaweza kunisaidia jinsi ya kuchakachua hiyo modem niweze kutumia line zote. najua wadau mtanisaidia
wadau naombeni mnisaidie jinsi ya ku activate bundle kwenye modem ya voda hizi mpya za saa hivi. halafu kama kuna msamiria anaweza kunisaidia jinsi ya kuchakachua hiyo modem niweze kutumia line zote. najua wadau mtanisaidia
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Oct 16, 2012 #2 piga *149*01# halafu utachagua Intanet baada ya hapo chagua bundle unayoitaka. Maelezo ya uchakachuzi ni mengi we search humu.
piga *149*01# halafu utachagua Intanet baada ya hapo chagua bundle unayoitaka. Maelezo ya uchakachuzi ni mengi we search humu.