F furahamisuke Member Joined Aug 13, 2017 Posts 11 Reaction score 3 Jul 15, 2018 #1 Habari za wakati huu ndug, Naomba kuuliza kuwa walimu wa shule za msingi waliokuwa wameajiriwa mwaka Jana waliajiri kuanzia GPA ya ngap?
Habari za wakati huu ndug, Naomba kuuliza kuwa walimu wa shule za msingi waliokuwa wameajiriwa mwaka Jana waliajiri kuanzia GPA ya ngap?
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,360 Reaction score 21,713 Jul 15, 2018 #2 3.7
Dogo G JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 1,052 Reaction score 440 Jul 16, 2018 #3 Dogo una matatizo gan?..unatumia ID yako halisi jf?
enjai ya kyasha JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 3,096 Reaction score 3,651 Jul 16, 2018 #4 Dogo G said: Dogo una matatizo gan?..unatumia ID yako halisi jf? Click to expand... Amejuaje kama ni really id yake au kama mtoa mada ni dogo?
Dogo G said: Dogo una matatizo gan?..unatumia ID yako halisi jf? Click to expand... Amejuaje kama ni really id yake au kama mtoa mada ni dogo?