Thanks..ngoja nianzie hapoMambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.
Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.
View attachment 2733867
Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wakw, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.
Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
Kumntafuta mtu online ni kipaji mzee. Anzia contacts, mtumie meseji, kama yupo mbali wacheki watu wanaoonekana kumjua kupitia comments, waulize kwa nia njema, kujua angalia last activities zao, walipost mara ya mwisho lini, etc.Thanks..ngoja nianzie hapo
Aisee uko vizuri sanaMambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.
Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.
View attachment 2733867
Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wake, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.
Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
Asante..nimeanza na hao.. kila mmoja wao last activity mtandaoni ni 2018 mpaka 2020Mambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.
Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.
View attachment 2733867
Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wake, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.
Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
Nianzishe kampuni ya Private Investigator nini?? πππAisee uko vizuri sana
ThanksSad moment.
Hapo afande ashastaafu miaka mingi imepita.
Nenda Tanga then wao watakupa mwanga kidogo.
Kama mke ni WA 53 mume itakuwa ni wa 50-45.
Tuombe uhai
Kabisa yaani πNianzishe kampuni ya Private Investigator nini?? πππ
Umetisha mkuu, hapa umesaidia wengi.Kumntafuta mtu online ni kipaji mzee. Anzia contacts, mtumie meseji, kama yupo mbali wacheki watu wanaoonekana kumjua kupitia comments, waulize kwa nia njema, kujua angalia last activities zao, walipost mara ya mwisho lini, etc.
Ni process ila nenda mdogo mdogo.
Thanks..ngoja nianzie hapo
Usijaliuje na feedback asee uwa na penda izi moment kinoma
Baada ya kuwaonesha baba zangu picha za hao watoto wamekili kwa 99% huenda wakawa ni hao... Ishu ni last activity zao ni miaka 5 ilopita... Na friends zao pia hawajawa active mtandaoni..ila ninapambana..Mambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.