Habari wakuu.
Ninafanya tafiti juu ya Taasisi za kidini; maendeleo na changamoto zake katika utoaji wa huduma za kijamii Tanzania. Sasa kuna MOU moja kati ya serikali na Taasisi za kidini niliiona humu miaka mingi sana, sasa siipati tena.
Naomba kusaidiwa niipate.