Msaada: Namna ya kutuma pesa kutoka Oman

evance bahari

New Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
4
Reaction score
1
Samahani sana wanajamvi,

Nilikuwa naomba kujua namna ya rahisi ya kutuma pesa kutoka Oman, maana kuna mdogo wangu yupo huko anataka kutuma pesa lakini anadai kuwa mabosi wake wanambana sana haruhusiwi kutoka ndani japo mshahara wake analipwa vizuri tuu.

Yeye ni msaidizi wa kazi za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…