Ngoja wenye ujuzi zaidi waje kukusaidia ila kama haukuinstall au haukuiregester simu yako na security app yoyote kama android lost na nilizotaja hapo juu itakuwa vigumu kuipata sidhani kama gmail ni ya muhimu sana maana akiifanyi factoy restore inafutika
.
.
.
Cha kukushauri Jaribu kuenda kituo cha polisi na documents zako waeleze watakusaidia maana wengi wamefanikiwa kwa njia hiyo japo kuna kuzungushwa.
.
next tafuta android lost app ni mwisho wa matatizo