kwa ushauri tu ungeanza na mitsubishi plc's ziko more user friendly compared to simatic, ziko za relay na transistor output uta catch up haraka sana na kui master ndani ya mda mfupi mno then unaamia simaticTorrent file yenye hyo software. hope it helps
Programmable Logic Controller.Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
shukran mkuuProgrammable Logic Controller.
Hii ni kama computer inatumika kucontrol system kama viwandani au mitambo mingine, inakuwa progrmed na software kufanya automation.
kwa ushauri tu ungeanza na mitsubishi plc's ziko more user friendly compared to simatic, ziko za relay na transistor output uta catch up haraka sana na kui master ndani ya mda mfupi mno then unaamia simatic
nb; basics za digital logics lazima zipande
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc
Hiyo Plc nini maana uwa naona hata Atm za crdb uwa wanaandika kwenye vibao vyao Crdb plc[/QUO
Mkuu, hiyo PLC ya kama CRDB and the likes inasimama kana Public limited Company
ila hiyo anayoizungumzia mdau hapa inasimama kama programmable logic controller kama walivyotaja wadau hapo .