Msaada: Namna ya kuondoa Notification ya meseji

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Wataalam naomba mnisaidie namna ya kuondoa hii notification ya SMS yani ,sehemu ya app ya SMS inaonesha kuna msg imeingia lakini nikifungua hakuna msg yoyote na nimefuta msg zote kwenye simu lakini bado hii notification IPO so naombeni msaada namna ya kuitoa
Nimeambatanisha na screen shot kuonesha aina ya tatizo angalia hiyo rangi nyekundu kwenye app ya sms
 
Nenda kwenye setting tafuta app ya sms then clear hiyo kitu itakua imetoka
 
Reboot iyo simu yako all app zitaji refresh iyo alam itaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…