Waungwana kwema jamani
Ningepend kupata mzaada na e.imu kidogo kuhuxu maswal haya n CERTIFICATES EQUIVALENT maana nimesha lipia kila kwenye muemdelezo wa kujaza taarifa zangu kuna kipengele kimeandikwa C/O sijJu wanamaanisha nini. Ivyo bhasa kma ushawai kufany hili jambo naomb tusidizanane jamni