Msaada namna ya ku-update software kwenye galaxy s2

Jayll7

Senior Member
Joined
May 20, 2014
Posts
170
Reaction score
21
Wakuu naomba nijuzwe namna ya ku update s2 yangu coz had leo iko na kernel version.
So how ?
 
Wakuu naomba nijuzwe namna ya ku update s2 yangu coz had leo iko na kernel version.
So how ?

Tatizo dogo tu hlo cha kufanya download odin v3 kisha na firmware ya simu yako na kies kwa ajili ya driver kisha weka simu yako download mode kisha connect then fungua odin kisha start ikimaliza simu yako itakuwa poa kwa utashindwa
ntakupa link ya kudownload hizo software
 
Mkuu khalfan56 tunaomba utuwekee hizo links kwa simu tofauti tofauti ili tuhame S 2
 
Last edited by a moderator:
mkuu weka link bac,,wahitaji tuko weng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ