Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,619 May 23, 2017 #1 Kuna gari limekwama hapa Nyakanazi tangu saa tano nasi tumetelekezwa. Msaada wa namba za SUMATRA tafadhali.
Kuna gari limekwama hapa Nyakanazi tangu saa tano nasi tumetelekezwa. Msaada wa namba za SUMATRA tafadhali.
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 May 23, 2017 #2 Landline: +255 282 802 445 Mobile: +255 758 807746 Sumatra Kigoma.
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 May 23, 2017 #3 Kajolijo said: Kuna gari limekwama hapa nyakanazi tangu saa tano nasi tuetelekezwa... msaada wa namba za sumatra tafadhali Click to expand... Nipatie details za hilo basi: Namba ya usajili Jina la Kampuni Safari yenu ni ya kutoka wapi kwenda wapi na yapi ni maelezo ya wahudumu wa basi kufuatia hali hiyo
Kajolijo said: Kuna gari limekwama hapa nyakanazi tangu saa tano nasi tuetelekezwa... msaada wa namba za sumatra tafadhali Click to expand... Nipatie details za hilo basi: Namba ya usajili Jina la Kampuni Safari yenu ni ya kutoka wapi kwenda wapi na yapi ni maelezo ya wahudumu wa basi kufuatia hali hiyo