hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Habari zenu wakuu, natafuta laptop brand yoyote yenye sifa zinazoendana na soko la biashara. Walau iwe na sifa hizi screen ya 14 mpaka 17inch, ram 2 au 4gb, HDD 500gb, DVD ROM, internal speaker.
Dau langu 320k ila naweza kupanda kulingana na ntakavyovutiwa na bidhaa.
Nipo Arusha.
Dau langu 320k ila naweza kupanda kulingana na ntakavyovutiwa na bidhaa.
Nipo Arusha.