msaada nahitaji kufrash simu

Unatakiwa kudownload Rom ya Simu yako mfno kuna web inaitws RomKingz utapata hapo au waweza kuGoogle ukapata nyingne zaid.
Baada ya hapo utatakiwa kudownload Drivers za Android kwnye Computer na Sp Flash Tool ambayo ndio Software mojawapo itakayokusaidia kuFlash. So ukipata ROM ya simu, SP FLASH TOOL na DRIVERS na USB Cable Nzuri, acha vle viUSB cheap vyakuchajia tu enda sas Youtube download video ya jins ya kuflash kwa kutumia Sp Tool then Follow steps utaweza kama unataka kuweza. Jah Bless U.
 
asante,naweza nika frash bila PC?
 
asante,naweza nika frash bila PC?
labda inamix na kureset...
kuflush ni kuondoa mafail yote kwa cm...inabak bila kitu...then unaweka upya kutoka kwa pc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…