fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,308 Jan 23, 2020 #1 Habari za muda huu, nahitaji kufanya recovery katika computer ambayo ina window mpya na file nalo kuhitaji lilikuwa katika window ya zamani ambayo niliiformat nitumie njia gani ili niweze kurudisha hilo file (lilikuwa kwenye document) Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu, nahitaji kufanya recovery katika computer ambayo ina window mpya na file nalo kuhitaji lilikuwa katika window ya zamani ambayo niliiformat nitumie njia gani ili niweze kurudisha hilo file (lilikuwa kwenye document) Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,611 Jan 24, 2020 #2 Hukufannya back up kabla hujaweka window mpya ?
fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,308 Jan 24, 2020 Thread starter #3 Kamwene kamwene said: Hukufannya back up kabla hujaweka window mpya ? Click to expand... Nilifanya, ila file la document nilisahau kabisa.. Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwene kamwene said: Hukufannya back up kabla hujaweka window mpya ? Click to expand... Nilifanya, ila file la document nilisahau kabisa.. Sent using Jamii Forums mobile app
fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,308 Jan 24, 2020 Thread starter #4 Msaada kama una idea yeyote ambayo inaweza kunisaidia.. Kamwene kamwene said: Hukufannya back up kabla hujaweka window mpya ? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada kama una idea yeyote ambayo inaweza kunisaidia.. Kamwene kamwene said: Hukufannya back up kabla hujaweka window mpya ? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,611 Jan 24, 2020 #5 fofre said: Msaada kama una idea yeyote ambayo inaweza kunisaidia.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tafuta software inaitwa Ease us data recovery hii inapita hadi kwenye formated partition.. Kuna recuva na Pandora
fofre said: Msaada kama una idea yeyote ambayo inaweza kunisaidia.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tafuta software inaitwa Ease us data recovery hii inapita hadi kwenye formated partition.. Kuna recuva na Pandora
fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,308 Jan 24, 2020 Thread starter #6 Shukrani kiongozi.. Kamwene kamwene said: Tafuta software inaitwa Ease us data recovery hii inapita hadi kwenye formated partition.. Kuna recuva na Pandora Click to expand... Nipo naendelea na kufanya recovery kwa disk drill recovery, Ease us ilileta file ambazo tayari zipo.. Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kiongozi.. Kamwene kamwene said: Tafuta software inaitwa Ease us data recovery hii inapita hadi kwenye formated partition.. Kuna recuva na Pandora Click to expand... Nipo naendelea na kufanya recovery kwa disk drill recovery, Ease us ilileta file ambazo tayari zipo.. Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,611 Jan 24, 2020 #7 fofre said: Shukrani kiongozi..Nipo naendelea na kufanya recovery kwa disk drill recovery, Ease us ilileta file ambazo tayari zipo.. View attachment 1332999 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Safi mkuuu..
fofre said: Shukrani kiongozi..Nipo naendelea na kufanya recovery kwa disk drill recovery, Ease us ilileta file ambazo tayari zipo.. View attachment 1332999 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Safi mkuuu..