Jamani hawa jamaa Mamlaka ya maji safi na maji taka Kahama na Shinyanga(KASHWASA) walitangaza nafasi ya kazi ya computer system analyst II, Lakini wako kimya sana!
JAMANI MWENYE UPDATE NAO ATUSAIDIE TULIOOMBA?