Teacher Emma
Member
- Jul 15, 2015
- 21
- 9
Ngazi ipi ikuwa unaapplyNilipokuwa napitia Guide book ya Diploma Holder kuna sehemu palikuwa pananihitaji ku-apload Certificate na Transcript ila wakati nafanya application baada ya kujaza chuo nilichosomea diploma, Jina la program niliyosoma, mwaka niliohitimu na Registration number...moja kwa moja nilipelekwa katika hatua ya kujaza vyuo navyohitaji kuomba. Msaada; Je, si lazima kuapload certificate na transcript au mimi ndiye niliyekosea mahali wakati nafanya application? Msaada tafadhali
Diploma kwenda Bachelor degreeNgazi ipi ikuwa unaapply
Mkuu,kuna baadhi ya vyuo matokeo yao yapo kwenye database ya nacte hivyo hawatohitajika kuapload cheti na transcript ila kuna baadhi ya vyuo pia matokeo yao hayapo kwenye"database "ya nacte hivyo hao ndo watakaohitajika kuapload transcript na cheti. Kwa kesi yako inaonekana chuo chako ni kimoja ambacho matokeo yao yapo kwenye hyo database yao ndo mana huhitajiki kuapload..! Kwa uhakika zaidi ukifungua kwenye profile yako nenda kwenye NTA/Equivalent ili ujiridhishe na matokeo yako kama yapo sahihi.Nilipokuwa napitia Guide book ya Diploma Holder kuna sehemu palikuwa pananihitaji ku-apload Certificate na Transcript ila wakati nafanya application baada ya kujaza chuo nilichosomea diploma, Jina la program niliyosoma, mwaka niliohitimu na Registration number...moja kwa moja nilipelekwa katika hatua ya kujaza vyuo navyohitaji kuomba. Msaada; Je, si lazima kuapload certificate na transcript au mimi ndiye niliyekosea mahali wakati nafanya application? Msaada tafadhali
Mkuu je na mimi inakuaje? maana mpaka sasa mayokeo hayajasoma na tuliambiwa na chuo yatapelekwa tusi upload hofu yangu kwamba nisije kosa chuo mkuu kama picha ilivyo hapo chini je ni upload? ahsantehMkuu,kuna baadhi ya vyuo matokeo yao yapo kwenye database ya nacte hivyo hawatohitajika kuapload cheti na transcript ila kuna baadhi ya vyuo pia matokeo yao hayapo kwenye"database "ya nacte hivyo hao ndo watakaohitajika kuapload transcript na cheti. Kwa kesi yako inaonekana chuo chako ni kimoja ambacho matokeo yao yapo kwenye hyo database yao ndo mana huhitajiki kuapload..! Kwa uhakika zaidi ukifungua kwenye profile yako nenda kwenye NTA/Equivalent ili ujiridhishe na matokeo yako kama yapo sahihi.
Nafikiri nimekusaidia kidogo