Msaada mwenye Wimbo Julie wa Bob Rudala.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,617
Reaction score
46,682
Wakuu,kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba mdau yeyote mweye wimbo uitwao Julie wa Bob Rudala aniweke hapa sababu nautafuta sana.
 
Mie natafuta wimbo wa Masharp shooter sauti ya miujiza-Ubandidu
 
Mi natafuta nyimbo za justine kalikawe mwenye nazo tafadhari atupie hapa, natanguliza shukrani.
 
Karibu sana kama una mwingine unautaka sema Tu kama ninao kwenye library yangu nitakupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…