Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Ana umri wa miezi kumi sasa. Ametokewa na vijipele vidogo vidogo vinavyomuwasha mwili mzima.
Tatizo hili lilimuanza akiwa na miezi 4 hadi sasa ana miezi kumi tatizo bado lipo.
Dawa alizotumia hadi sasa ni Sonaderm, Elyvate, Netracort skin cream, Omolog, Alerid (Hydrochloride syrup), Bethamethason, Prednisolon tabs, B.B.E na pia kuna kipindi alikuwa akiogeshwa hupakwa Potassium parmanganet.
Dawa hizi zote amekuwa akipewa na kubadilishiwa na wataalamu wa Hospitali ya wilaya na mkoa.
Kiujumla, vipele hivi vinafanya ngozi ya mtoto iwe kavu ule unyororo wa ngozi ya kitoto unakuwa unatoweka.
Je, wadau! Kuna yeyote anaweza kufahamu tiba ya hii kitu?
NB: Hajawahi kupimwa allergy