Ni mti wa kawaida tu kama miti mingine tu! Ila kule kijijini kwetu Iringa, kulikuwa na mzee mmoja upo nje kwake mrefu balaa, nlikuwa naona watu wana chukua magome yake wanayakausha alafu ukiyasaga ule unga wake ukiramba ni mchungu subiri Ikasome, yani hapo hata kama ulikuwa na tumbo la kuhara, kuuma, au minyoo ndio mwisho wake.