Dah! Kiswahili kweli kigumu.
jamaa anadai yupo kwa love relation mda wa mwaka na binti aliyenaye mara alipompata binti alijinadi kuwa ni mhanga wa love pia alishawadamp wakaka wa3 kwa kumfanya kikaragosi, sasa jamaa anasema kwa mda wate huo HAJAMJUA mwenzake. kila anapojalibu kuleta romantic zone binti amekuwa akimpush, ikafika kipindi hata kiss tu aliambiwa hajazoea saaana.. sasa wiki ilopita alienda hostel aliko binti, mungu mkubwa alimkuta but na mkaka, akasalimia yule mkaka akaaga na atarudi, jamaa akapatwa dauti nae akaondoka, baada ya masaa 3 akarudi na kugonga alimkuta yule jamaa akiwa kitandani na kaoshi na mdemu wake kanga kiunoni na hakukuwa na rummet wengine huo mda wa saa 6 na usiku. binti akamwambia huyu ni rafiki yangu anakaa hostel za mbali hivyo hawezi ondoka usiku ule . . jamaa akabaki mweupe wa kauli na kujikuta akirudi nyuma na kuondoka. anata afanye revenge so watsup guys tumsaidie aweze rudi kifikra

Bora na wewe umeliona hilo.Hahahaha kaoishi!Mpotezee au ampotezee...ya nini malumbano?
Hicho kichwa chako cha habari, nilinipeleka mbali sana, nilihisi msela wako anapumuliwa kisogoni,
Kweli hata mimi nilifikilia ivyo ivyo kuwa msela wake....punga-watu wanatwanga.Hicho kichwa chako cha habari, nilinipeleka mbali sana, nilihisi msela wako anapumuliwa kisogoni,
Kweli hata mimi nilifikilia ivyo ivyo kuwa msela wake....punga-watu wanatwanga.Hicho kichwa chako cha habari, nilinipeleka mbali sana, nilihisi msela wako anapumuliwa kisogoni,
Kweli hata mimi nilifikilia ivyo ivyo kuwa msela wake....punga-watu wanatwanga.
Harafu ''english''imeandikwa kwa kiswahili hata sijapata mtililiko mzuri wa hiyo''story''-Tazama harama nyekundu hizi:-
(((jamaa anadai yupo kwa love relation mda wa mwaka na binti aliyenaye mara alipompata binti alijinadi kuwa ni mhanga wa love pia alishawadamp wakaka wa3 kwa kumfanya kikaragosi, sasa jamaa anasema kwa mda wate huo HAJAMJUA mwenzake. kila anapojalibu kuleta romantic zone binti amekuwa akimpush, ikafika kipindi hata kiss tu aliambiwa hajazoea saaana.. sasa wiki ilopita alienda hostel aliko binti, mungu mkubwa alimkuta but na mkaka, akasalimia yule mkaka akaaga na atarudi, jamaa akapatwa dauti nae akaondoka, baada ya masaa 3 akarudi na kugonga alimkuta yule jamaa akiwa kitandani na kaoshi na mdemu wake kanga kiunoni na hakukuwa na rummet wengine huo mda wa saa 6 na usiku. binti akamwambia huyu ni rafiki yangu anakaa hostel za mbali hivyo hawezi ondoka usiku ule . . jamaa akabaki mweupe wa kauli na kujikuta akirudi nyuma na kuondoka. anata afanye revenge so watsup guys tumsaidie aweze rudi kifikra)))
Mvumbuzi.....ni kweli ninatatizo la R,L...ila sikuwa namsahisha huyo...nilkuwa namwambia mtililiko haueleweki....unaweza andika maneno ya kiswahili hata kama ukikosea inaeleweka....Tuludini katika topic....Mkuu siyo Harama nyekundi bali alama nyekundu pia siyo Harafu bali ni Halafu . Sijaelewa inakuwaje unamsahihisha mtu ambaye ni worse kwa Kiswahili wakati wewe ni worst
Mvumbuzi.....ni kweli ninatatizo la R,L...ila sikuwa namsahisha huyo...nilkuwa namwambia mtililiko haueleweki....unaweza andika maneno ya kiswahili hata kama ukikosea inaeleweka....Tuludini katika topic....