phanta Member Joined Aug 14, 2014 Posts 59 Reaction score 15 Feb 18, 2017 #1 cm samsung glx note 3 ukiitumia inapata joto sana na haijaenda kwa fund nini shida hapo
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,670 Reaction score 14,645 Feb 18, 2017 #2 phanta said: cm samsung glx note 3 ukiitumia inapata joto sana na haijaenda kwa fund nini shida hapo Click to expand... Mganga wa kwanza ni wewe mtumiaji je iliingia maji?
phanta said: cm samsung glx note 3 ukiitumia inapata joto sana na haijaenda kwa fund nini shida hapo Click to expand... Mganga wa kwanza ni wewe mtumiaji je iliingia maji?
phanta Member Joined Aug 14, 2014 Posts 59 Reaction score 15 Feb 18, 2017 Thread starter #3 mke wangu haijaingia maji
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,670 Reaction score 14,645 Feb 19, 2017 #4 phanta said: mke wangu haijaingia maji Click to expand... inawezekana mafuta ya nywele kwakifupi maji ama mafuta hutengeneza ukungu kwenye simu ambao hutangeneza resistance ambayo hupitisha umeme
phanta said: mke wangu haijaingia maji Click to expand... inawezekana mafuta ya nywele kwakifupi maji ama mafuta hutengeneza ukungu kwenye simu ambao hutangeneza resistance ambayo hupitisha umeme