Msaada: Mke wangu anasumbuliwa na tumbo

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,827
Msaada jamani shemeji/wifi yenu anasumbuliwa na tumbo muda sana tumeenda hosptali tofauti wakashauri aache kinga za uzazi wa mpango.

Amecha na kupewa madawa tofauti tofauti lakini maumivu ya tumbo kichwa ayaishi kama kuna mtu anatiba mbadala anisaidie jamani

Asanteni sana
 
Hv wanandoa wanashindwa kutumia Condom, kumwaga nje au kutumia calendar ili kufanya uzazi wa mpango.?
 
Kabla ya dawa lazima ujue je hayo matatizo yanasababishwa na nini inawezekana ikawa ni amiba sugu tumia dawa za amiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…