Inaitwa functional dyspepsia/ essential dyspepsia kama unachokieleza ndiyo chenyewe ambayo sifa zake kuu ni abdominal fullness pamoja na flatulence. Kwa msaada zaidi nenda hospitali au tafuta magnesium citrate tablets.