Msaada: Maji ya bomba yana asidi?

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Wadau naomba kuuliza hivi maji ya bomba yana acid na kama yanayo unafanyaje kuitoa Ili uyanywe
 
Ndiyo yana acid tena sana tuu.

Chemsha hayo maji kwa zaidi ya nusu saa, tena usi yafunike ili ule mvuke utoke.

Yakipoa chuja weka sehemu salama kunywa.

Hiyo ndiyo namna nina jua ya kutoa acid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…