Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

Wasiwasi ndo akili. We ujipeleke viwanja vya ushuani na 50K kweli tena upo na demu si kutafuta balaa tu hapo.
 
Sasa mkuu kwa bajeti yako si bora ww unywe maji dem ale vizur mpeleke fish market utojutia kabisa
 
Wewe jamaa ni wa ukweli sanaa.

Katika hizo sehemu tatu nimeikubali hiyo Pizza Hut. Kwanza gharama haizidi 30k safiii.

Umesema ipo Mkuki Mall... Ni maeneo gani hayo .. kule Posta?

Hizo sehem zingine sijazikubali kivile.

Nielekeze hiyo Pizza Hut iko wapi mkuu. Ngoja nimpigie kabisa simu mtoto ajiandae.
 
Mkuki ipo pale kariakooo kama unaenda gongolamboto
 
Goba center, unabaki na salio
 
Nimeona aisee...

Daah kule mbali sana.

Yaani tufunge safari kutoka Ubungo hadi Kariakoo kisa kula Pizza
!!

Bora nifikirie chimbo lingine tu.

Ngoja niendeeee... Sijui niende wapi, mmmhhh... Duh.
Starehe gharama bloody watu wanakaa gongo la mboto mtoto anakaa goba ila pizza hut inaendeka kwa budget ya almost 40k ndo tunavoishi nao

its just matter of jee anaridhika na ulicho nacho is she free with you anaile autonomy and flexibility ya ku enjoy na mfuko ulio jaalowa mfano
Mnaweza panda bolt toka ubungo tu posta its like nijaribu ku search hapa on bolt kwa boda ni 6-7k per trip kwa gari ni 13k per trip yani kama ni go and return ni almost 15k kwa boda na 22k budget per car kitu ambacho kama mwanaume lazima uoneshe uwanaume wako mbele ya mtu wako ndio umwamba yani una fanya jambo laku create memories kweny kichwa chake

Mimi sometimes bro huwa tunachukua hata mwendo kasi ujue kitu ina itwa outing watu wana claim kama ni jambo la fasta fasta tu hapana kwa mwanamke ni anataka a enjoy every second ya hio moment mkiwa wawili hata kama mtakula ice cream at least she is happy with the moment mnayo spend together

Kwa unavosema upo ubungo i guess sinza na tabata zinaweza kuwa location kali ni chap tu kwenda kurudi

Make her happy bro usituangushe you got it king
 
Facts
 
Branch zingine za Pizza hut zipo Oysterbay, na Mikocheni sio lazima mkuki
 
Kwanza huyo Manzi ni type gani , pili hyo 50 inainclude na transport??
Tatu Huyo Manzi ushamzagamua au ndo unaenda kurusha ndoano?

Fanya hvi kama hujamzagamua kabla ya kumpeleka hyo mitoko yako ya njaa njaa hakikisha awe anajua baada ya mtoko kifuatacho ITV ni mzagamuo

Kuhusu sehemu za kutoka kama anakaa Goba mpeleke Montana ni pakishua kiasi na bei zao ni za kizalendo kwa maeneo ya Beach sio mbali na Montana Panaitwa Dynast ununio napo ni pazuri unaweza kuenjoy kwa hyo pesa ndogo
 
Buguruni malapa, kuna mzee anachomq matiti ya ng'ombe na makongoro ya mbuzi. Unajichagulia mwenyewe kisha anayapiga viungospesheli na kukuchomea. Ni matam kinyama, shemu hatajutia . Budget haifiki hata 3000. Hiyo 47,000 ingia nayo popote hata Sea criff baada ya kuwa mmeshiba vyakula vya utalii wa ndani.
 
kama salio ni 50K tu mwenyewe sitoki nitaumbuka, kuna pisi zinaagiza utadhani zinakomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…