Msaada :magazeti yanaandikwaje?

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
877
Reaction score
981
Habar wadau!!

Hivi haya magazeti yanayotoka daily km MAJIRA wanatumia technology gan kuandika zle habar?? Coz unakuta tukio limetokea saa 3 ucku but asubuh unakuta habar ipo gazetn,, hv wanawezaje kutype kwa haraka namna hyo?? Thanks km nimeeleweka
 
Ed funguka bac tujue wote
 
Last edited by a moderator:
Kuna habari, makala, matangazo, adithi, katuni etc. Only habari ndio inakua edited mwishoni ila hivyo vingine vinakua na known format. So wahariri wanaedit habari kwa mfano ya kwenye gazeti la kesho wana edit leo na ikifika jioni wanaanza kuprint ready for distribution.
 
Huwa linadizainiwa gazeti moja kwenye soft copy ambayo wanaiita template hiyo inasababisha mengine yote yaprintiwe mashine ya kuprint ina uwezo wa kuprint makala lukuki kwa mda mfupi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…