Msaada Local disc C inajaa yenyewe automatically

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,322
Reaction score
15,087
Nahitaji Majibu Unique Wakuu Kama Ku Google nisha Google Sana Na Video za YouTube nimeziangalia Sana nnaombeni Msaada

Inaonesha Imebaki na 1.61GB kati ya 98GB



Cha Kushangaza FOLDER la USER ambalo Mara nyingi ndo hutumia Space Lenyewe lina 21GB tuuu Je Hizi zaidi ya 77GB zimejificha Wapi?



Naowaonya Vijana Wenye Kejeli. Wenye Uelewa Tusaidiane hiki Kitu tusijikite Kutoa Misaada ya Vitu kama simu za itel Hebu Tujaribu na Hili Ni Complex issue.

Sitarajii Majibu ya sijui...

-Delete Tempo File
-Fanya Clean Up
-Malware
 
Kabla sijakusaidia unatumia anti virus anti malware?
 
kuna virus huwa na tabia ya ku copy files silently toka kwenye external drive au flash disk inapeleka kwenye hidden folder ndani ya drive c, ili kujua hilo utaona unapochomeka hiyo device inakuwa busy mda mrefu.
 
kuna virus huwa na tabia ya ku copy files silently toka kwenye external drive au flash disk inapeleka kwenye hidden folder ndani ya drive c, ili kujua hilo utaona unapochomeka hiyo device inakuwa busy mda mrefu.
Ni njia Gani za kuweza kulibaini Hilo File?
 
Ifungue PC yako toa RAM na Hard disk uvilambe lambe kwa dakika tano kisha uvirudishie kisha washa PC yako ukiwa umefumba jicho moja.Ikiwaka cheki space utaona GB 10 zimerudi.
 
Mkuu jaribu hii solution halafu make sure upo katika safe mode.

1. Naamini unaweza ingia safe mode either kwa kuzima computer yako na ukiwasha baada ya bios menu bonyeza F8 mara nyingi then utapata option ya safe mode. Au nenda run halafu type msconfig then ingie startup options then select safe mode.

2. Computer ikiwaka nenda My Computer - Organise - Folder and Search Options - View Tab - Show hidden files. Make sure Hide protected operating system files pamoja na Hide extension for known file types unazitolea tick. Apply then OK

3. Go to local disk C - Users - Chagua user unayotumia - Hapa ndo kuna trick, Utakuta files zako zote za user yako kama Application data, downloads, desktop, documents, pictures etc.

Locate file ambalo lina extensio ya .EXE Kumbuka executable files hazitakiwa kuwepo kwenye hiyo location na utagundua files hizo au file hilo hulifahamu na litakua na jina la ajabu tu.

Please delete that file sababu huyo ndo atakua VIRUS anayekusumbua.

NB: Nimekwambia ufanye process hiyo ukiwa SAFE MODE sababu virus huyo hawezi run kwenye safe mode,which means unaweza delete na likatoka otherwise ukifanya kwenye normal boot utaambiwa file lipo in use sababu virus ana run.

If u succeed please come and give back the update

CIAO
 
Ma compyuter ya Lumumba mlipewa bure lazma yawasumbue hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…