Msaada laptop inasumbua

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
848
Reaction score
693
Habari wakuu, Laptop yangu Dell Inspiron 5030 inasumbua kwa kweli.
Kila nikiwasha ina waka vizuri inafika sehem ya kuweka password naweka password baada ya dakika kama 3 ina leta blue screen iliyoandikwa maneno haya: SETTING UP PERSONALIZED SETTINGS FOR: WINDOWS UPDATE. Hayo maneno hayaondoki kwenye screen na inagomea hapo. Je ni tatizo gani wataalam?
 
Inaelekea computer yako imepigwa na virus blue screen, hiyo inatokana na kutokuwa na anti-virus au kama ilikuwepo ilikua 'out of date'.

Suluhisho hapo ni kupiga chini operating syst 'OS' na kuiweka upya. uwe care kwenye data. data zote ziwe saved kabla ya ku- instal OS, isipokuwa installed programs zote itabidi ziwekwe upya.

Hakikisha unaweka na anti virus, na uwe una connect kwenye net mara kwa mara (at least mara moja kwa wiki) ili anti virus ijijenge.
 

Thanks mkuu ngoja nijaribu kufanya hivyo
 
na mimi hapo wandugu mashine yangu inasumbua kidogo ni toshiba satelite c650, icons zote katka desktop ni za internet exploer halafu hazifungui chochot, yaan ni kama shortcut.nimejaribu kuweka os windows 7 ultimate imekataa instalation zake nimeweka tena xp 2009 pia imekaa yenyewe inatumia windows 7 profesional...msaada
 
Hamna haja ya kupiga machine chini jaman.
Enter safe mode disable antivirus kama ni problem .
Jaribu katika safe mode ku disable windows update (isi update automatically)
:behindsofa:--- then reboot...
 
Mkuu,mimi
Nliwahi kupatwa na tatizo kama hili kwenye Dell Inspiron n5040 kipindi cha nyuma,nilijua ni OS nilishauriwa kuipiga chini na hata nilipoipiga chini bado tatizo lilibaki palepale

Suluhisho nililipata kwa jamaa mmoja aliyeniambia kuwa hizi Inspiron ni laptop delicate sana hivyo hazihitaji mitikisiko ya mara kwa mara,hiyo hupelekea Hard Disc au vifaa vingine vya ndani kutikisika na kushindwa kufanya kazi vizuri (Izingatiwe programs zote including OS zinakaa ndani ya Hard Disc(Local Disc C)),alichokifanya aliifungua kisha akaitoa Hard Disc na kuisafisha kisha akaiweka tena,baada ya hapo tatizo hilo lilikomea hapo
 

Thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…