Msaada laini ya 4G inagoma inahitaji niweke codes

ntenga90

Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
10
Reaction score
3
Natumia simu ya 4G ya vodacom ila ukiweka lain nyingine inagoma kusapoti inahitaji code kwa anayeweza nisaidia hili tatizo
 
hiyo simu imefungiwa mitandao mingine, ni zile simu za promotion.
 
Natumia simu ya 4G ya vodacom ila ukiweka lain nyingine inagoma kusapoti inahitaji code kwa anayeweza nisaidia hili tatizo
Hiyo simu inahitaji unlock code. Check na jamaa wanaojiita streetwinner wako facebook. Watakuuzia unlock code kwa 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…