keitowangu
Member
- Dec 2, 2014
- 12
- 0
Jaribu kuongea na mumeo kwa lugha laini maana wewe na yeye ndio pekee mnaojijua vyema...
nadhani hilo kalishindwa ndo maana akaja hapa dr
Ngoja tumsubiri majibu yake mrembo...
Huenda hajachukua hatua hiyo vilevile...
umejifungua kwa njia gani?????
lakini pia ar u still sexy kama kabla hujajifungua????unanukia vizuri?????? unamtamanisha?????HUAJANENEPA KWELI?????KUPITA KIASI WEWE NA MAZOEZ HUTAKI KUFANYA?????
nguo hizo unazoshindaga nazo akirudi badili maana huwa zinanuka maziwa
anyways JIBU KWANZA HAPO JUU