tatizo linaweza hardware au software....kama ulivyosema. kama ulifomat kompyuta yako na kuweka OS mpya inawezakana huja weka sound drivers kwani hujasema kama hizo zipo. sijui laptop yako ni aina gani, au version gani lakini sound drivers pia hutofautiana kulingana na version ya Os na aina ya kompyuta.
Kuangalia drivers za sauti Right click My Computer-chagua Properties, kwenye System Properties chagua Hardware then bonyeza Device Manager, devices zote kwenye kompyuta yako zitaorodheshwa hapo na kama kuna device imekosekana utaona alama ya njano na ulizo? kwa maana kuwa hazipo. so uangalia sound, video and game controllers...
Shortcut bonyeza Start - Run andika sysdm.cpl then utaona sysytem properties na uendelee.Kama hazipo lazima u dowload na ku-install.
Posibility nyingine ni ya spika kuwa mbovu, kuingiwa na vumbi au uchafu na kwa hilo itabidi uende kwa fundi mtaalamu wa kompyuta.
kwenye kibox cha Run andika sysdm.cpl
utona box