Aise pole sana ndugu yangu. Vp hospital ulishaenda?Habari ndugu zangu, napenda niende moja kwa moja kwenye tatizo linalo nisibu
Nimekuwa nikipata tatizo la kubanwa kwa moyo na kuvuta pumzi kwa shida, hasa kama ikitokea nikiwa nimelala itanibidi niamke nikae kidogo nivute pumzi kwa shida ivyoivyo kidogo napata unafuu kuliko kuendelea kulala
Hali hii inanitokea mara chache sana, kama baada ya miezi kadhaa ndio hii hali inaweza kujitokeza
Umri miaka:23
Jinsia: mwanaume
Sio mnene, mwili wa kawaida, sina magonjwa ya chronic, sivuti sigara wala sinywi pombe au kilevi chochote kile
Asante.... Nawasilisha
Pole sana mkuu , nenda hospital kamuone doctor ,Habari ndugu zangu, napenda niende moja kwa moja kwenye tatizo linalo nisibu
Nimekuwa nikipata tatizo la kubanwa kwa moyo na kuvuta pumzi kwa shida, hasa kama ikitokea nikiwa nimelala itanibidi niamke nikae kidogo nivute pumzi kwa shida ivyoivyo kidogo napata unafuu kuliko kuendelea kulala
Hali hii inanitokea mara chache sana, kama baada ya miezi kadhaa ndio hii hali inaweza kujitokeza
Umri miaka:23
Jinsia: mwanaume
Sio mnene, mwili wa kawaida, sina magonjwa ya chronic, sivuti sigara wala sinywi pombe au kilevi chochote kile
Asante.... Nawasilisha
Asante sana mkuu kwa ushaur.... BarikiwaMkuu pole Sana,nimewahi kusumbuliwa na tatizo Kama lako,nilienda ndanda hospital,nikafanyiwa kipimo Cha ECG,kipimo kilionesha Sina tatizo,ilinibidi niende mhimbili ambako kilipimwa vimimo vingi Sana lakini sikukutwa na tatizo lolote be la moyo ,baada ya hapo nilienda bugando hospital nikakutana na daktari wa gastro intestinal cases,huyo ndo alikuwa chanzo Cha Mimi kupata nafuuu.
Kabla ya yote nakushauri uende hospital ukafanye vipimo vya moyo may be kunashida,lakini ukiwa katika hatua hiyo jaribu kupunguza mawazo pia acha kula vyakula ambavyo vina asidi , kwani huenda ikawa ni tatizo la mfumo wa chakula .
Fika hospital kwa msaada zaidi.
Nadhani una tatizo linalojulikana kama ANGINA, ni kwamba kwenye moyo haifiki damu ya kutosha na hivyo oxygen inapungua kuliko mahitaji. Waone wataalamu wa moyo wapo wengiHabari ndugu zangu, napenda niende moja kwa moja kwenye tatizo linalo nisibu