Msaada kwenye hili tuta WAKUU

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
648
Reaction score
621
Wakuu,

Nimeibiwa Laptops 2 Simu na Hard diskis 2 plus vitambulisho na kichinjio. Mbaya zaid mwizi anatumia namba yangu kumpigia rafiki yangu ana demand pesa ili arudishe mali alizoiba. Pia amesajili a special number ili atumiwe pesa huko na arudishe vitu vyote. Hizo laptops zina vital information na anatishia kuni blackmail zaidi. Namba yangu nimeamua kesho nika iblock ili nispate matatizo zaid. sasa wakuu wa teknolojioa hapa nifanyeje ili nimlocate alipo? Watu wa mitandao wako slow sana na wansema hawawezi kunipa location bali mnara alipo tu. na pia nimefuata protocal za kipolisi bado mambo magumu.

Msaada wakuu nitatoa 200k kwa atakaye niwezesha hili.

Humble respect
 
Duuu kama polisi hawawez na wakati wanavitendea kazi vyote, basi ile sheria haina kazi.
 
Pole sana mkuu, ongea na watu wa mtandao wanaweza kukupa location
 
Kama ni android na uliset location on itafute kwa google mtandaoni kwa kutumia your google account maana satellite haidanganyi inakuonesha mpk jengo alipo.
Google: Track my android phone itakupeleka kwenye google map. Mimi nimejaribu inafanya accurately mpk unaweza ukafuta kila kitu from where ever you are na unaweza kuiring ikaita ilipo.
Ila kama ameformat inakuwa shida maana google wanalink google account na IMEI
 
Info za kuku blackmail kama zipi?
picha za uchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…