So Si ungeingiza Pasword za Gmail.... Hii njia n safe na inafanya kazi sema huwa tunaweka pasword wakat hamna data connection... pale data connection n lazma iwepo... pia usi crem kua recover n kwa button ya sauti tuu ... kama tablet zna button ya Camera au home button kama ya kwenye samsung huwa inatumika ile pale... se4ma sometimes ndo unakutana na recovery mode katika lugha ya Kichina... hapo ndo inakua tatizoooo... I hate Guazhou Products kiukweli... japo they ar cheap