Solution kama hujafanya disturbance basi iweke kwenye pc hiyo ambayo ulikuwa unaitumia ili iwe kama external kisha fanya data backup then baadaye piga window then restore filesWakuu habari za saa hizi natumaini wote ni wazima .
Nimepatwa na tatizo kidogo kwenye pc yangu ni kwamba nilichomoa harddisk nikaitumia kama external sasa wakati wa kuirudisha na kuwasha Pc inanipeleka kwenye system repair .. nimejaribu kufanya repair kwa kureset , kurun SFC , bootrec with CMD ,system restore imeshindikana kutokana na kukosa restore point , nimejaribu kuboot in safe mode pia imeshindikana kwani inanirudisha kwenye recovery mode .
Nimerun pia "chkdsk C ;/r pia
Nina document yangu ni muhimu na ipo kwenye desktop na inahitajika kesho
Shida yangu kubwa ni kuiwasha niweze pata hio DOC kwenye desktop kwani nikisema nipige window i will lose that file
NAOMBENI MSAADA WAJUVI WA WINDOWS
Shukran mkuu ,kinachonishinda ni jinsi ya kuaccess files za kwenye desktop kwa kutumia external .. nikipata maelekezo hapo utakuwa msaada mkubwa .. nimejitahidi kupitia kwenye web nimeshindwa kutatua tatizoHapo mkuu kuna files ulifuta... jaribu kutumia kama external af utafute izo documents zako kweny local disk C..
Pia pitia na website zingne uone unaweza solve vip..
Docs zipo kwenye desktop mkuu nashindwa kuziaccess nikijua any means how nitashukuru .. Natanguliza ShukraniKutakua kuna windows files ulizifuta au zime collapse kipindi unaitumia kama external, sasa si utumie kama external ku copy izo dox kwenye pc nyingine. Then uta install windows upya!
Ingia local disk C kama huna partition ukichomeka external hapo ndio C ingia folder linaitwa user kisha utaona jina la pc ambalo uliandika mwenyewe ukiingia hapo utaona sasa my documents, pictures, video na mafolder mengine.Shukran mkuu ,kinachonishinda ni jinsi ya kuaccess files za kwenye desktop kwa kutumia external .. nikipata maelekezo hapo utakuwa msaada mkubwa .. nimejitahidi kupitia kwenye web nimeshindwa kutatua tatizo
Msaada zaidi mkuu jinsi ya kufanya backups NB docs zinahitajika asubuhi kaziniSolution kama hujafanya disturbance basi iweke kwenye pc hiyo ambayo ulikuwa unaitumia ili iwe kama external kisha fanya data backup then baadaye piga window then restore files
Ukishaichomoa haiwezi kufanya kazi kwa sababu ya drivers za motherboad zimekosekana
Shukrani mkuu ngoja nijaribuIngia local disk C kama huna partition ukichomeka external hapo ndio C ingia folder linaitwa user kisha utaona jina la pc ambalo uliandika mwenyewe ukiingia hapo utaona sasa my documents, pictures, video na mafolder mengine.
Inagoma inasemaje? Umeweka emualtor gani?Wakuu na mimi nipenyeze jambo langu kwenye huu uzi wa jamaa,
mimi natumia WINDOWS 10 sasa shida ipo kila emulator nayoweka niki_install WhatsApp kwa iyo emulator inagoma, sitaki ushauri wa whatsweb maana sina tambo mimi hapa nina kitochi na pc.
nili_install youwave ikagoma wakati kabla sijaweka windows 10 nilikuwa natumia windows8 hiyo youwave nilikuwa natumia vizuri tu. Sasa hii windows 10 nimeshajaribu emulator zaidi ya tano lakini zote nashindwa kutumia whatsApp labda chief nichagulie itayokubali.Inagoma inasemaje? Umeweka emualtor gani?
Download blue stuck upate whatssap na application nyingine kutoka play store ya androidWakuu na mimi nipenyeze jambo langu kwenye huu uzi wa jamaa,
mimi natumia WINDOWS 10 sasa shida ipo kila emulator nayoweka niki_install WhatsApp kwa iyo emulator inagoma, sitaki ushauri wa whatsweb maana sina tambo mimi hapa nina kitochi na pc.
Common ni bluestack na Nox player.nili_install youwave ikagoma wakati kabla sijaweka windows 10 nilikuwa natumia windows8 hiyo youwave nilikuwa natumia vizuri tu. Sasa hii windows 10 nimeshajaribu emulator zaidi ya tano lakini zote nashindwa kutumia whatsApp labda chief nichagulie itayokubali.
Chomeka kama external kisha fungua partition yenye window, ingia user, chagua jina uliloipa halafu desktop utaona hiyo document unayohitaji kisha utaweza kuihamishia kwenye location yoyote ya PC yakoWakuu habari za saa hizi natumaini wote ni wazima .