Hao wamekudanganya.....hata ununue umeme Mara tano kwa mwezi sawa tu ilimradi matumizi yako kwa mwezi yasizidi 75 units yaani hata uwe na units 100 sawa tu ila usitumie zaidi ya 75 units kwa mwezi
Kununua mara moja au mara nne kwa mwezi ni utashi wako kulingana na uwezo wako ki-fedha na energy consumption. Je hao wanaokushauri, kuna kiasi cha fedha wanachangia ili ununue tokens za LUKU?Habari wakuu...
Ni hivi mimi nipo kwenye kundi la watumiaji wadogo wa umeme. Tatizo kuna baadhi wameniambia kuwa sitakiwi kununua umeme zaidi ya mara moja kwa mwezi, hapa nilipo umeme unaelekea kwisha na mwezi units nilizotumia hazizidi 50 .. Msaada wa haraka unahitajika ndugu kwamba ninunue kidogo hata wa buku 2 au nisubiri (niendelee kuwa gizani hadi tar 1)?
Ikizidi hizo kinatokea nini hebu tiririka mkuu
UmepigwaMimi hawa TANESCO wanadai nipo katika kundi la watumiaji wadogo, lakini cha natumia ghalama kubwa sana kununua units. Wananiuzia sh 350 kwa unit. Je hiyo ni halali kweli?
Mwakabanje: issue siyo utumie units ngapi, kwa watumiaji wadogo wasinunue Umeme zaidi ya Tsh 9,000/= Mimi nilinunua Umeme wa Tsh 10,000/= ambao niliutumia kwa siku 43. Niliponunua tena wa Tsh 10,000/= nikapata units 28.7 badala ya units 63 na points. So issue siyo matumizi bali usinunue zaidi ya Tsh 9,000/= kwa mwezi. Sijui kama nimeeleweka.Hao wamekudanganya.....hata ununue umeme Mara tano kwa mwezi sawa tu ilimradi matumizi yako kwa mwezi yasizidi 75 units yaani hata uwe na units 100 sawa tu ila usitumie zaidi ya 75 units kwa mwezi
Nadhani ataondolewa kutoka kwenye kundi la watumiaji wadogo na kuwekwa kwa watumiaji wakubwa ambao bei per unit itakuwa kubwa kuliko kwenye kundi la watumiaji wadogo
Tarif itapanda na bei ya unit itapandaIkizidi hizo kinatokea nini hebu tiririka mkuu
Tarif itapanda na bei ya unit itapanda
Kweli Tanzanian bado tuko nyuma sanaMwakabanje: issue siyo utumie units ngapi, kwa watumiaji wadogo wasinunue Umeme zaidi ya Tsh 9,000/= Mimi nilinunua Umeme wa Tsh 10,000/= ambao niliutumia kwa siku 43. Niliponunua tena wa Tsh 10,000/= nikapata units 28.7 badala ya units 63 na points. So issue siyo matumizi bali usinunue zaidi ya Tsh 9,000/= kwa mwezi. Sijui kama nimeeleweka.