Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Kwa kuongezea hapo. Aingie google andika game analotaka kisha amalizie na apk mfano 3brothers in army apk hapo ataweza kudownload bila shida yyteUnaweza kupakua bhana fanya hivi, ingia playstore tafuta game unapobofya install toa tik ile kwenye Wi-Fi na hapo utapakia hata kama ni GB2
Apk maana yake ni ninKwa kuongezea hapo. Aingie google andika game analotaka kisha amalizie na apk mfano 3brothers in army apk hapo ataweza kudownload bila shida yyte
To a suluhu mzeeHiyo wanakuonea huruma wewe, maana unadhani wao watajuaje kwamba una bando, huenda umewasha data tu bila ya kuwa na bando???
So ni ukumbusho kwako tu kwamba ujue unashusha mzigo mkubwa.