Hizi Lugha kweli huwa na uwalakini ndani yake. Ninavyofaham inaweza kuwa lugha ya kukuaga kuwa unakokwenda kuwa mwangalifu..
.Mi nami nakumbuka nlisifiwa sana interviewer akasema you are so smart, You have something in your brain give me your all mobile number and your email...ilikuwa mwezi wa saba mwaka huu mpaka sasa wapo kimya sijapokea email wa simu toka kwao.