Msaada kwa waliowahi kufanya interview

mara nyingi sekta binafsi na hata serikalini wakati mwingine huchukua muda mpk wakuite kwa ajira kwa maana mpk wajiridhishe mambo muhimu kama mishahara na stahiki zako nyiingine,kuwa mvumilivu tu utaitwa tu kama ni bahati yako
 




hilo neno kweli lina ualakini.kwann aseme hivyo
 
mm nimeelewa kuwa kuna hatua itafuata ambayo ukifanya mistake utapoteza nafas. labda watakuita wakupime kwa vitu vidogo au watakupigia cm kukupima so be careful
 
Ni lugha tu ni aina fulani ya kuagana ni kama anakuambia be safe
 
Hizi Lugha kweli huwa na uwalakini ndani yake. Ninavyofaham inaweza kuwa lugha ya kukuaga kuwa unakokwenda kuwa mwangalifu..
.Mi nami nakumbuka nlisifiwa sana interviewer akasema you are so smart, You have something in your brain give me your all mobile number and your email...ilikuwa mwezi wa saba mwaka huu mpaka sasa wapo kimya sijapokea email wa simu toka kwao.
 
Mbona neno take care ni neno la kawaida tu,kwani unapoagana na mtu ukimwambia take care is it a big deal?Mojawapo ya maana ya neno hilo ni "Good-bye and keep yourself healthy " so tatizo ni wewe unavyolichukulia neno hilo halina mahusiano na interview.Issue hapa ni uelewa wa jinsi hilo neno linavyotumika.Neno hli hutumiwa katika kuhitimisha mazungumzo so take it easy.
 
take care ni neno la kingereza maana yake ni kuwa makini lakini watu wengi kizazi hiki wamekua wakilitumia isivyo. Wengine wanapoagana utasikia mmoja anamwambia mwenzake take care ,.

Kwahiyo lisikuumize kichwa chamsingi kuwa mvumilivu tu subiri kuitwa kazini kama bahati ipo ipo tu.
 
Interview ni majanga. WanaJF na ile umemaliza oral interview wanakwambia we will call you after 3week na hawajafanya hivyo week 6 Sasa inamaana Ndiyo basi tena.
 
Interview ni majanga. WanaJF na ile umemaliza oral interview wanakwambia we will call you after 3week na hawajafanya hivyo week 6 Sasa inamaana Ndiyo basi tena.
Kama walikuambia watakupigia na hawajakupigia unahaki ya kufuatilia ujue kinachoendelea,labda huku qualify for the next stage na wanaogopa kukupigia kukupa "bad news".All in all ni haki yako kufuatilia ujue nini kinaendelea kuhusu hiyo kazi uliyokuwa interviewed.Tatizo job seeker wengi badala ya kufuatilia kwenye makampuni husika mnafuatilia JF.
 
Endapo utakizi vigezo na masharti atakupigia,take care. Kizzywizzy
 
Last edited by a moderator:
Kwenye kutafuta kazi hua ni bahati tu kupata...lakini usiwe unaweka akilini sana interview iliyopita...ni better to count yourself kama umekosa
 
ULIMWAMBIA SENKYUUUU
WEWE NI ME AU KE?
NA YEYE JE?:tonguez::glasses-nerdy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…