M muudy Senior Member Joined May 25, 2013 Posts 156 Reaction score 22 Aug 23, 2014 #1 natumia tecno P3 tatizo ni kwamba nime download WhatsApp na avast tu but nikiendelea ku download program zingine inaniambia memory full heb wataalam nipen ujuzi hapa .........
natumia tecno P3 tatizo ni kwamba nime download WhatsApp na avast tu but nikiendelea ku download program zingine inaniambia memory full heb wataalam nipen ujuzi hapa .........
M mwanajamii112 Member Joined Aug 21, 2014 Posts 21 Reaction score 9 Aug 23, 2014 #2 Je ni original au famba? Kama ni original unachotakiwa kufanya ni kurestore simu, then unapoinstall application zi install kwenye memory card
Je ni original au famba? Kama ni original unachotakiwa kufanya ni kurestore simu, then unapoinstall application zi install kwenye memory card
Yahya Asaa JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 244 Reaction score 28 Aug 23, 2014 #3 1)Hizo tu ndo app ulizo downlod 2) nibora unge root hiyo cm ndo ungeweza kupeleka app Kwenye sd card
AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 6,884 Reaction score 5,616 Aug 23, 2014 #4 mwanajamii112 said: Je ni original au famba? Kama ni original unachotakiwa kufanya ni kurestore simu, then unapoinstall application zi install kwenye memory card Click to expand... Kwani hiyo Tecno yenyewe ni original?
mwanajamii112 said: Je ni original au famba? Kama ni original unachotakiwa kufanya ni kurestore simu, then unapoinstall application zi install kwenye memory card Click to expand... Kwani hiyo Tecno yenyewe ni original?
decomm JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 726 Reaction score 666 Aug 23, 2014 #5 Post deleted by me. Sorry.
M mwanajamii112 Member Joined Aug 21, 2014 Posts 21 Reaction score 9 Aug 23, 2014 #6 Usitumie tena hiyo link ya nigeria, ni hucker and virus feeder link
Yahya Asaa JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 244 Reaction score 28 Aug 23, 2014 #7 Kwani kuna tecno orignal bro
decomm JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 726 Reaction score 666 Aug 23, 2014 #8 mwanajamii112 said: Usitumie tena hiyo link ya nigeria, ni hucker and virus feeder link Click to expand... Nimeifuta mkuu
mwanajamii112 said: Usitumie tena hiyo link ya nigeria, ni hucker and virus feeder link Click to expand... Nimeifuta mkuu
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Aug 23, 2014 #9 Yahya Asaa said: Kwani kuna tecno orignal bro Click to expand... Unauliza ama unakosoa!
Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,781 Reaction score 6,138 Aug 23, 2014 #10 Tecno tena P3!! HACHA BASI
Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,781 Reaction score 6,138 Aug 23, 2014 #11 Kampe Beki3 Kisha jipange uchukue Y300 basi