S social 006 Member Joined Mar 7, 2021 Posts 6 Reaction score 2 Aug 16, 2021 #1 Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi.
Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,721 Reaction score 126,568 Aug 16, 2021 #2 Una GPA ya ngapi? Una diploma ya nini
S social 006 Member Joined Mar 7, 2021 Posts 6 Reaction score 2 Aug 16, 2021 Thread starter #3 Mwifwa said: Una GPA ya ngapi? Una diploma ya nini Click to expand... Diploma ya Maendeleo ya jamii G.P.A 4.7
Mwifwa said: Una GPA ya ngapi? Una diploma ya nini Click to expand... Diploma ya Maendeleo ya jamii G.P.A 4.7
Awakener The Lone Wolf JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 251 Reaction score 219 Aug 17, 2021 #4 social 006 said: Diploma ya Maendeleo ya jamii G.P.A 4.7 Click to expand... Tafuta avn
Kyamtwala JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 257 Reaction score 163 Aug 17, 2021 #5 social 006 said: Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi. Click to expand... Pamoja na GPA yako nzr bila kuwa na award verification number AVN,hutofanya chochote...!Tafuta hicho kitu ndiyo access ya ku apply chuo...!
social 006 said: Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi. Click to expand... Pamoja na GPA yako nzr bila kuwa na award verification number AVN,hutofanya chochote...!Tafuta hicho kitu ndiyo access ya ku apply chuo...!