sasa hiv watu wanaapply NACTE na sasa washafunga mfumo kwa ajili ya kutoa selection kwa entry ya mwez wa7 but watafungua tena baada ya matokeo ya form6 so huwez kwenda direct
angalia website ya nacte.go.tz uangalie annoucement zao nahis kama bado me sijaangalia ila kazana dogo vyuo vya serikali vya afya viko poa ada ni ndogi sana na utajifunza mengi
Kwa utaratibu wa zamani direct entry lazima uwe na C zote or above kwenye PCM kwa alama zako ulitakiwa kusoma Access course kwanza lakini sasa hivi nasikia access course imefutwa so na application zote zinafanyika NACTE sio chuo, Nakushauri tembelea web ya nacte pamoja na ya vyuo vya DIT,MUST na ATC upate instructions vizuri juu ya qualifications na namna ya kuapply.