Usiku kabla ya kulala ulikula nini na ulikunywa nini na kiasi gani na je ulivuta nini?, chumba ulicholala kilikuwa na hewa ya kutosha na je ulioga kabla ya kulala? JE ulilala na nani na mlifanya nini kabla ya kulala? Je ulilala kwako au gesti?Heshima kwenu wana jamvi.
Usiku wa kuamkia leo 'nimeota' njozi ambayo imekifarakanisha kichwa changu mpaka muda huu........
Nimemuona mheshimiwa Lowasa akiwa kwenye halaiki ya watu, ni kama alikuwa kwenye harakati za kampeni (sina uhakika, ingawa kulikuwa na watu wengi mno). Lakini katika hali ya kushangaza, he was poisoned by an unknown person......kuja kustuka, kalegea anataka kuanguka.....watu si ndio kumdaka. Jitihada za kumuwahisha hospitali zikafanyika. Kumfikisha hospital, na vipimo vilipofanyika, vikaonesha tayari keshatutoka......tena kwa sumu kali, iliyomshambulia sana ndani ya muda mfupi tuu......
Nimeamka ndugu zangu hata sijielewi yani....kwamba kwa nini niote ndoto ya namna hii, wakati hata sikulala nawaza wala kufikiri mambo ya wanasiasa...??
Embu mnisaidie kwa wale wajuzi wa kutafasiri na kupambanua ndoto/njozi.
Asanteni sana.....
Dah aisee naona Mungu kakubeba maana umeota kupitia mlengo wa kushoto,la kama ungeota kupitia mlengo wa kulia du ungekuwa unatafutwa kila kona saa hizi "ndoto ya rema" ila kuwa na amani pako poa tu,Heshima kwenu wana jamvi.
Usiku wa kuamkia leo 'nimeota' njozi ambayo imekifarakanisha kichwa changu mpaka muda huu........
Nimemuona mheshimiwa Lowasa akiwa kwenye halaiki ya watu, ni kama alikuwa kwenye harakati za kampeni (sina uhakika, ingawa kulikuwa na watu wengi mno). Lakini katika hali ya kushangaza, he was poisoned by an unknown person......kuja kustuka, kalegea anataka kuanguka.....watu si ndio kumdaka. Jitihada za kumuwahisha hospitali zikafanyika. Kumfikisha hospital, na vipimo vilipofanyika, vikaonesha tayari keshatutoka......tena kwa sumu kali, iliyomshambulia sana ndani ya muda mfupi tuu......
Nimeamka ndugu zangu hata sijielewi yani....kwamba kwa nini niote ndoto ya namna hii, wakati hata sikulala nawaza wala kufikiri mambo ya wanasiasa...??
Embu mnisaidie kwa wale wajuzi wa kutafasiri na kupambanua ndoto/njozi.
Asanteni sana.....
Usiku kabla ya kulala ulikula nini na ulikunywa nini na kiasi gani na je ulivuta nini?, chumba ulicholala kilikuwa na hewa ya kutosha na je ulioga kabla ya kulala? JE ulilala na nani na mlifanya nini kabla ya kulala? Je ulilala kwako au gesti?
Hapana, kuna aina za njozi kama hii inawezekana mojawapo au vyote vikawa sababu. mfano ni kama ile ndoto ya Lema.Kwani njozi/ndoto hutegemea vyote hivi...??!!
Tafsiri ya ndoto yako ni hii;
Lowassa amewakilisha maoni na mitazamo iliyo tofauti na utawala uliopo madarakani.
Hiyo poison ni sera na mikakati ya maksudi iliyopangwa na inayoendelea kupangwa dhidi ya mitazamo na maoni tofauti dhidi ya ile ya watawala hawa.
Kinachooneka kutakuwa na siasa za tofauti sana na tulizozoea huko tuendako ambapo demokrasia na haki vitapewa tafsiri mpya. Nahili litamgusa kila mtu katika siasa, aliye mpinzani, mwana CCM na hata mwana harakati.