borncool JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 226 Reaction score 49 Mar 19, 2014 #1 Habar vp wadau ,nilikuwa naomba msaada wa kiufund jinsi ya kuunganisha na Wi-fi maana najarbu inazngua huu mchina wa smartphone
Habar vp wadau ,nilikuwa naomba msaada wa kiufund jinsi ya kuunganisha na Wi-fi maana najarbu inazngua huu mchina wa smartphone
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Mar 19, 2014 #2 Mimi hata sijakuelewa, subiri watakaokuelewa watakuja kukusaidia