msaada kwa hii simu

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
wadau wa jf naomba anayejua anifahamishe bei na feature za simu aina ya coolpad D539 vp inaendana na ulimwengu wa sasa
 
wadau wa jf naomba anayejua anifahamishe bei na feature za simu aina ya coolpad D539 vp inaendana na ulimwengu wa sasa
iwapo umeweza kuingia humu that means ungeweza pia kugoogle specs za hiyo simu na hata kuona users wengine wanaizungumziaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…