Msaada kwa diploma kwenda degree

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Wakuu habari..
Nauliza hivi mtu akijiunga na ordinary diploma ya C.O,pharmacy,lab tech na kupata gpa ya 3.0 na kuendelea?je akitaka kujiunga chuo anatumia kigezo kujiunga na degree kwa kuwa nimesikia habari za principal pass
 
Principal pass ni kwa applicants wanaotokea A level lakini diploma unapaswa kuwa na GPA ya 3.0 +
 
Principal pass ni kwa applicants wanaotokea A level lakini diploma unapaswa kuwa na GPA ya 3.0 +
In principle ni hiyo =>3.0 lakini kuna vyuo(itabidi ucheki prospectuses zao) vinasema mwenye principal pas atakuwa na added advantage meaning watawapa upendeleo wale waliopitia F6 (wana kwa mfano principal 2 mfano D na E au EE) halafu wakaenda Diploma (upande wa Afya).
 
Reactions: 30P
Hivi ni alama ngapi za ufaulu kwa O level zinatakiwa kusoma Barchelor kutokea diploma?
 
Hivi ni alama ngapi za ufaulu kwa O level zinatakiwa kusoma Barchelor kutokea diploma?
Unatakiwa uwe na D's 4 au C's 3 kwa kwa o level,kwa mfano ukiwa unataka kwenda agriculture economy utatakiwa uwe umefaulu,geography, maths, agriculture, economy,chemistry yani manne kati ya hayo upate d au matatu upate c,ila kutokana na competition iliyopo huwa wanaangalia zaidi mwenye c's,hasa kwa vyuo vyenye ushindani mkubwa kama UDSM,SUA,MZUMBE.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Na mwenye D mbili au tatu je?
 
hakikisha unaanzia na G.P.A ya point 3.0 na o..level uwe umefaulu vizuri.
 
Wakuu habari..
Nauliza hivi mtu akijiunga na ordinary diploma ya C.O,pharmacy,lab tech na kupata gpa ya 3.0 na kuendelea?je akitaka kujiunga chuo anatumia kigezo kujiunga na degree kwa kuwa nimesikia habari za principal pass
Mkuu kama unataka kuunga degree ya hizo course yani pharmacy, doctor of Medicine, laboratory technology na zingine za afya ya binadamu basi unapaswa kuwa na GPA 3.5 kuendelea kwa mujibu wa TCU, ila kwa course zingine ndio unatakiwa na GPA ya kuanzia 3.0 kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…