Simu ipo poa sana hii.
Kama wewe ni mpenda CAMERA ndo mahala pake. Tecno wametoa C5 na C8 speciall kwa kamera. Ndo maana matoleo yake yanaitwa CAMMON kifupi cha (CAMERA ON).
Tecno c8 ni moja ya matoleo machache ya Tecno yenye Android 5.0 Lollipop.
Betri lipo poa sana, Lina 3000mAh.
Pia kioo chake kinaukubwa wa kutosha (5.5 inches).
Simu hii wameinyima 4G LTE network tu. Wakati toleo lililopita la Tecno c5 ipo.